Mkuu wa shule anayo furaha ya kuwatangazia kuwa shule bado ina nafasi za kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/2014. Unaombwa kujitahid kuchukua fomu za kujiunga mapema kwani nafasi ni chache.
Nyote mnakaribishwa,
Mkuu Wa Shule.
No comments:
Post a Comment