Sunday, November 3, 2013

MTIHANI MWEMA KIDATO CHA NNE.

Mkuu wa shule akishirikiana na wafanyakazi wote wa shule ya sekondari Lomwe wanapenda kuwatakia vijana wao mtihani mwema. Mtihani huo wa mwisho utafanyika kuanzia siku ya jumatatu ya tarehe 04/11/2013. Mtihani mwema na mungu awe nanyi.

No comments:

Post a Comment