Thursday, November 7, 2013

TANGAZO LA NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA, 2014:

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI LOMWE ANAYO FURAHA KUWAJULISHA KUWA NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA,MWAKA 2014 BADO ZIPO.  WASILIANA NA OFISI KWA KUTUMIA NAMBA YA SIMU YA OFISI NA. 027-2757927 AU 0784-813787, 0652-301339.  KWA MAELEKEZO ZAIDI.

HUDUMA HII INAPATIKANA SIKU ZA KAZI KUANZIA JUMATATU HADI IJUMAA SAA ZA KAZI KUANZIA SAA 1.30 ASUBUHI HADI SAA 9.30 ALASIRI.

1 comment:

  1. Hamja update blog yenu siku nyingi, tunapenda kupata taarifa zenu mara kwa mara.

    ReplyDelete