Wednesday, October 30, 2013
Tuesday, October 29, 2013
NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA BADO ZIPO 2013-14
Mkuu wa shule anayo furaha ya kuwatangazia kuwa shule bado ina nafasi za kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2013/2014. Unaombwa kujitahid kuchukua fomu za kujiunga mapema kwani nafasi ni chache.
Nyote mnakaribishwa,
Mkuu Wa Shule.
Nyote mnakaribishwa,
Mkuu Wa Shule.
Subscribe to:
Posts (Atom)