Thursday, November 7, 2013

TANGAZO LA NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA, 2014:

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI LOMWE ANAYO FURAHA KUWAJULISHA KUWA NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA,MWAKA 2014 BADO ZIPO.  WASILIANA NA OFISI KWA KUTUMIA NAMBA YA SIMU YA OFISI NA. 027-2757927 AU 0784-813787, 0652-301339.  KWA MAELEKEZO ZAIDI.

HUDUMA HII INAPATIKANA SIKU ZA KAZI KUANZIA JUMATATU HADI IJUMAA SAA ZA KAZI KUANZIA SAA 1.30 ASUBUHI HADI SAA 9.30 ALASIRI.

Sunday, November 3, 2013

MTIHANI MWEMA KIDATO CHA NNE.

Mkuu wa shule akishirikiana na wafanyakazi wote wa shule ya sekondari Lomwe wanapenda kuwatakia vijana wao mtihani mwema. Mtihani huo wa mwisho utafanyika kuanzia siku ya jumatatu ya tarehe 04/11/2013. Mtihani mwema na mungu awe nanyi.